top of page

AMINA COLLECTIONS CENTRE:

ENTREPRENEUR WOMAN:

  • Mimi ni mtanzania, ninaishi mkoa wa Dar es Salaam eneo la Tabata Chang'ombe.

  • Katika hii website/tovuti yangu ninauza vitu mbalimbali, ikiwepo mafuta ya watoto ya nazi, nguo za wakubwa za kiume, mikoba ya wadada, simple/viatu vya wadada, pia nauza mashuka ya kisasa.

  • Pia ni mwalimu nafundisha graphics designs na video production.

  • Pia nafundisha digital marketing(utangazi wa biashara mtandaoni).

Home: Welcome
Search
Home: Blog2

AMINA COLLECTIONS CENTRE.

bottom of page