top of page
AMINA COLLECTIONS CENTRE:
ENTREPRENEUR WOMAN:
Mimi ni mtanzania, ninaishi mkoa wa Dar es Salaam eneo la Tabata Chang'ombe.
Katika hii website/tovuti yangu ninauza vitu mbalimbali, ikiwepo mafuta ya watoto ya nazi, nguo za wakubwa za kiume, mikoba ya wadada, simple/viatu vya wadada, pia nauza mashuka ya kisasa.
Pia ni mwalimu nafundisha graphics designs na video production.
Pia nafundisha digital marketing(utangazi wa biashara mtandaoni).

FORONYA YA MTO WA SOFA
PENDEZESHA SEBULE YAKO

FORONYA
KITAMU HICHO!!!!!!!

SHUKA
WOW!!!

FORONYA YA MTO WA SOFA
PENDEZESHA SEBULE YAKO
Home: Welcome
Home: Blog2
bottom of page